Diwani wa Kata ya Kilungule, Saidi Fella
Afisa
Maendeleo Kata ya Sandali, Anuciatha Kayombo akizungumza jambo katika
hafla ya ufunguzi wa Kampeni ya Tunaweza inayopinga ukatili wa wanawake na
watoto uliofanyika Kata ya Sandali Dar es Salaam jana kabla ya ufunguzi
huo.
Afisa Mtendaji wa Kata ya Sandali, Engerasia Lyimo akisalimia wananchi na kutambulisha viongozi meza kuu
Diwani
wa Kata ya Sandali, Abel Tarimo (wa pili kulia) akimkaribisha mgeni
Rasmi ambaye ni Diwani wa Kata ya Kilungule na Mkurugezi wa Yamoto
Bend, Said Fella (wa kwanza kulia) wakati akiwasili katika hafla ya
ufunguzi wa Kampeni yaTunaweza inayopinga ukatili wa wanawake
na watoto uliofanyika Kata ya Sandali Dar es Salaam jana kabla ya
ufunguzi huo.
Mkurugenzi wa Kikundi cha ngoma ya Hisia Theater Group, Hamisi Kussa (kushoto) akicheza na nyoka wakati wa hafla ya ufunguzi wa Kampeni Tunaweza inayopinga ukatili wa wanawake
na watoto uliofanyika Kata ya Sandali Dar es Salaam kabla ya
ufunguzi huo.
Mkurugenzi wa Kikundi cha ngoma cha Hisia Theater Group, Hamisi Kussa akicheza na nyoka wakati wa hafla ya ufunguzi wa Kampeni Tunaweza inayopinga ukatili wa wanawake
na watoto uliofanyika Kata ya Sandali Dar es Salaam kabla ya
ufunguzi huo.
Nyoka
Diwani
wa Kata ya Sandali, Abel Tarimo (wa pili kushoto) akizungumza jambo wakati wa hafla ya ufunguzi wa Kampeni ya Tunaweza inayopinga ukatili wa wanawake
na watoto uliofanyika Kata ya Sandali Dar es Salaam kabla ya
ufunguzi huo na kupata nafasi ya kumkaribisha mgeni rasmi, kuanzia kulia ni Afisa
Maendeleo Kata ya Sandali, Anuciatha Kayombo, Afisa Mtendaji wa Kata ya Sandali, Engerasia Lyimo na kushoto ni Diwani ya Kata ya Kilungule, Said Fella
Mgeni rasmi, Diwani ya Kata ya Kilungule Saidi Fella (kushoto) akizungumza jambo wakati wa ufunguzi wa hafla ya ufunguzi wa Kampeni ya Tunaweza inayopinga ukatili wa wanawake
na watoto, wakwanza kulia ni Afisa Mtendaji wa Kata ya Sandali, Engerasia Lyimo na Diwani
wa Kata ya Sandali, Abel Tarimo
Diwani Fella katika picha ya pamoja na kikundi cha ngoma cha Hisia Theater Group
Mkurugenzi wa Kikundi cha ngoma cha Hisia Theater Group, Hamisi Kussa akisalimiana na Diwani Kata ya Sandali Abel Tarimo
Mkurugenzi
wa Kikundi cha ngoma cha Hisia Theater Group, Hamisi Kussa (kulia)
akisalimiana na Mgeni rasmi ambaye ni Diwani wa Kata ya Kilungule, Saidi Fella
Kikundi cha wacheza ngoma cha Hisia wakitowa burudani wakati wa hafla ya ufunguzi wa Kampeni ya Tunaweza inayopinga ukatili wa wanawake
na watoto uliofanyika Kata ya Sandali Dar es Salaam
Msanii wa Yamoyo Band akitowa burudani katika hafla hiyo
Wapiga ngoma wakitumbuiza wakati wa hafla hiyo
Msanii wa Kikundi cha ngoma cha Hisia, Theo Leonald awa kivutio katika hafla ya ufunguzi wa Kampeni ya Tunaweza inayopinga ukatili wa wanawake
na watoto
Mcheza Sarakasi wa Kikundi cha Hisia, Omary Said akitowa burudani ya mchezo wa Yoga katika hafla ya ufunguzi wa Kampeni ya Tunaweza inayopinga ukatili wa wanawake
na watoto
Mcheza Sarakasi wa Kikundi cha Hisia, Omary Said akitowa burudani ya mchezo wa Yoga katika hafla ya ufunguzi wa Kampeni ya Tunaweza inayopinga ukatili wa wanawake
na watoto
Wananchi wakifuatilia kwa umakini
Msanii
wa Kikundi cha ngoma cha Hisia, Theo Leonald akionyesha umahiri wake
katika hafla ya ufunguzi wa Kampeni ya Tunaweza inayopinga ukatili wa
wanawake
na watoto
Afisa Msajili Cecilia Nyandindi (kushoto) akiendelea na kusajili wananchi wanaopinga Ukatili wa wanawake na watoto
Baadhi ya wasanii wa Sarakasi wa Kikundi cha Hisia wakizunguuka mfano wa tairi wakati wa ufunguzi wa hafla ya Kampeni ya Tunaweza inayopinga ukatili wa wanawake
na watoto,
(PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
No comments:
Post a Comment