BARABARA ZILIZOHARIBIKA TANGA. - RAHA ZA PWANI
Responsive Ads Here

Post Top Ad

Post Top Ad

Sunday, May 14, 2017

BARABARA ZILIZOHARIBIKA TANGA.

Responsive Ads Here
IMG_1867
Mbunge wa Jimbo la Lushoto (CCM) Shabani Shekilindi alimaarufu Bosnia akikagua athari za mafuriko kwenye barabara ya Soni hadi Mombo ambapo imefungwa kutokana na vifusi,mawe kudondoka barabarani na hivyo kusababisha adha hiyo
IMG_1893
Mbunge wa Jimbo la Lushoto (CCM) Shabani Shekilindi alimaarufu Bosnia akiangalia athari za barabara ya Mombo hadi Soni ambayo imefungwa kutokana na kushuka kwa mawe makubwa na vifusi
IMG_1898
Mbunge wa Jimbo la Lushoto (CCM) Shabani Shekilindi alimaarufu Bosnia akitazama maeneo yaliyoathirika
IMG_1905
Mbunge wa Jimbo la Lushoto (CCM) Shabani Shekilindi alimaarufu Bosnia akipita kwenye baadhio ya maeneo yaliyoathirika na udongo kushuka na kusababisha adha kwa wasafiri
IMG_1948
Mbunge wa Jimbo la Lushoto (CCM) Shabani Shekilindi alimaarufu Bosnia akisistiza jambo kwa wananchi
IMG_1957
Mbunge wa Jimbo la Lushoto (CCM) Shabani Shekilindi alimaarufu Bosnia kulia akisalimiana na wananchi
IMG_1960
Mbunge wa Jimbo la Lushoto (CCM) Shabani Shekilindi alimaarufu Bosnia katikati akiwa kwenye picha na wapiga kura wake mara baada ya kukutana nao akiwa njiani kuelekea kwenye kukagua athari za mafuriko
IMG_1969
Mbunge wa Jimbo la Lushoto (CCM) Shabani Shekilindi alimaarufu Bosnia kulia akitazama eneo ambalo limetoka jiwe kubwa ambalo lilishuka kwenye barabara ya Mombo- Soni na kusababisha kufungwa
IMG_1977
Mbunge wa Jimbo la Lushoto (CCM) Shabani Shekilindi alimaarufu Bosnia kulia akiteta jambo na wataalamu wanaosimamia zoezi la kuondosha kifusi na mawe
IMG_1991
IMG_1996
Creda likiendelea na kazi yake kama kawaida
IMG_1998
Baadhi ya wananchi wakipita kwenye barabara hiyo mara baada ya greda kuondoa kifusi kwenye baadhi ya maeneo yaliyokuwa wameangukiwa na vifusi


IMG_1545
Katibu wa CCM wilaya ya Lushoto,Ramadhani Mahanyu akizungumzia suala hilo
IMG_1564
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Bumbuli akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na kadhia ambayo wamekumbana nayo watumiaji wa barabara ya Mombo-Soni kutokana na mawe na vifusi kudondoka.

IMG_1573
Mbunge wa Jimbo la Lushoto (CCM) Shabani Shekilindi  alimaarufu Bosnia akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na athari za barabara ya Mombo hadi Soni kuharibika 

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad