Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa MultiChoice Tanzania Hilda Nakajumo akimkabidhi zawadi mmoja wa washindi wa zawadi ya king’amuzi cha DStv Mohammed Sadik Sukuzi (wa pili kushoto) wakati wa hafla fupi ya kutangaza ofa maalumu ya DStv ya msimu wa sikukuu ijulikanayo kama Funga mwaka na DStv ambapo wateja wapya wa DStv wataweza kujiunga kwa shilling 79,000 tu na kupata kifurushi cha mwezi mzima bure. Ofa hiyo itadumu kwa miezi miwili hadi Januari 15, 2018 |
Post Top Ad
Responsive Ads Here
Thursday, November 16, 2017
Home
Unlabelled
FUNGA MWAKA NA DStv imewadia.
FUNGA MWAKA NA DStv imewadia.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Responsive Ads Here
Author Details
DIRECTOR RAH TANZANIA BLOG. Photojournalist Tanzania Daima.
Email: saidpowa@gmail.com, Contact: +255797779095
Email: saidpowa@gmail.com, Contact: +255797779095
No comments:
Post a Comment