PROMOSHENI YA WESTERN UNION YAFANYIKA JIJINI DAR. - RAHA ZA PWANI
Responsive Ads Here

Post Top Ad

Post Top Ad

Thursday, November 16, 2017

PROMOSHENI YA WESTERN UNION YAFANYIKA JIJINI DAR.

Responsive Ads Here
_MG_8186
Farida Kibangu akiwa amefungwa kitambaa usonii akionyesha karatasi ya mshindi wakati wa kuchezesha droo ya kwanza ya promosheni ya Western Union inayoendeshwa na benki TPB. 

_MG_8211
Mkurugenzi waTeknohama na Uendeshaji wa Benki ya TPB, Jema Msuya, akisoma kuponi za majina ya washindi wa droo ya kwanza ya promosheni ya Western Union inayoendeshwa na benki hiyo.  Washindi watano walijishindia simu za mkononi na wawili walijishindia kompyuta mpakato. Kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano wa benki hiyo, Noves Moses.

_MG_8220+%25282%2529

_MG_8231

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad