DK.ALONGA NA WAANDISHI KUHUSU VURUGU ZILIZOTOKEA ZANZIBAR. - RAHA ZA PWANI

Habari za Hivi Punde

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Thursday, May 31, 2012

DK.ALONGA NA WAANDISHI KUHUSU VURUGU ZILIZOTOKEA ZANZIBAR.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, alipokuwa akizungumza na Wahariri na Waandishi wa habari wa vyombo mbali mbali vya Bara na Visiwani,katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar, kuhusu vurugu za Zanzibar ambapo alisema serikali haitasita kuchukua hatua kwa wote wanao tia fujo. Pia rais huyo aliwataka wote wanaopinga muungano kufuata utaratibu uliowekwa kwa tume maalum yakushughulikia kero za muungano.

Baadhi ya Wahariri na Waandishi wa Habari,wa vyombo mbali mbali vya Serikali na Binafsi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed
Shein,alipokuwa akizungumza nao jana katika ukumbi wa Ikulu MjiniZanzibar.


Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here