BONDIA LULU KAYEGE AJIFUA. - RAHA ZA PWANI

Habari za Hivi Punde

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Friday, June 1, 2012

BONDIA LULU KAYEGE AJIFUA.

 Kocha wa Mchezo wa ngumi Kambi ya Ilala Kondo Nassoro akimfundisha bondia chipkizi wa kike, Lulu Kayege Dar es salaam leo kwa ajili ya kujiandaa na mashindano ya kumi bora yatakayofanyika june 15 katika ukumbi wa panandi Ilala Bungoni Dar es salaam. Picha na Super D.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here