MANISPAA YA ILALA HATA HUU NAO NI UCHAFU. - RAHA ZA PWANI

Habari za Hivi Punde

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Saturday, May 26, 2012

MANISPAA YA ILALA HATA HUU NAO NI UCHAFU.

 Maji taka yakitiririka kutoka kwenye jengo linalojengwa karibu na makutano ya barabara ya Morogoro na Lumumba mkabala na jengo la Umoja wa Vijana wa CCM. Wakandarasi hawa sijui hawaelewi kuwa kutiririsha maji taka hovyo ni hatari kwa afya ya binadamu au maadili ya kazi juu ya usalama mahala pakazi wameyapa kisogo.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here