Home
Unlabelled
SIKU YA KIMATAIFA YA WALINDA AMANI DUNIANI YAADHIMISHWA JIJINI DAR. Tanzania yajivunia kuwa na majeshi kwenye nchi mbalimbali duniani wakilinda amani. Ina majeshi Daafur Sudan, Lebanon, Ivory Cost na nchi nyingine nyingi.

Naibu Waziri wa Mambo ya nnje na Ushirikiano wa Kimataifa, wa Tanzania Mahadhi Maalim, akizungumza na Waandishi wa habari mara baada ya kuhtubia vikosi vya walinda amani kwenye Mnara wa Mashujaa kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam hivi punde.
Naibu Waziri wa Mambo ya Nnje Mahadhi Maalim, akiwasalimia walinda amani wa Tanzania kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja.
No comments:
Post a Comment