Meneja wa huduma ya Malipo kabla wa kampuni ya Tigo Suleiman Bushagama,
akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana kuanza kwa
huduma mpya ya kampuni hiyo ijulikanayo kwa jina la 'Xtreme Pack'
itakayo anza leo kwa wateja wote, kulia ni afisa habari wa kampuni hyo
Alice Maro.
Wapiga picha wa Vituo vya TV wakichukua picha za tukio la uzinduzi wa huduma hiyo.
Umakini ni jambo la Msingi kazini waone hawa kila mmoja anahakikisha anapata anachotaka.
Kampuni ya Simu za Mikononi ya Tigo leo imezindua promosheni ijulikanayo kama 'Xtreme Pack' kwaajili ya mawasiliano ya jumla yanayopatikana muda wowote.
Mteja ataweza kujiunga kwa kupiga *148*01# au kutuma neno xtreme kwenda namba 15509.
Wateja wa huduma za kulipia kabla watafurahia huduma hizo ikiwemo pamoja na dakika 15 za muda wa maongezi zitakazotumika kupiga simu tigo kwa tigo.
SMS 100 na mb 50 kwaajili ya kuperuzi facebook, mtandao email pamoja na twitter ikiwa ni kwa gharama ya Tsh450.
“Tunatafutanjiathabitiyakuhakikishakuwawatejawetu
Kuhusu Tigo:
Tigo ni mtandaowa simuzamkononi wa
kwanza Tanzania,
ulianzabiasharamwaka 1994 na ni mtandaowasimu Tanzania
wenyeubunifuwahaliyajuunabeinafuukupitazotenchiniunaotoa
Umakini ni jambo la Msingi kazini waone hawa kila mmoja anahakikisha anapata anachotaka.
23 Mei,
2012, Dar es Salaam.
Mteja ataweza kujiunga kwa kupiga *148*01# au kutuma neno xtreme kwenda namba 15509.
wanapatahudumazinazoendananathamaniyapesazao”alisema Alice MaroambayeniafisauhusianowaTigo.
“Kwakupitiapromoshenihiimpyawatejawatawezakutumia
hudumazakusisimuakutokasimuza
apps,
ambazohudumanamaudhuiyakehuboreshamaisha,
kazinastarehezao.
Kuridhikakwamtejanikitu cha muhimusanakatikabiasharayetu,
hudumakatikamikoa 26,
Tanzania Bara na Zanzibar.
Tigo ni sehemuya Millicom
International Cellular S.A
(MIC) na hutoa hudumazasimuzamkononikwagharama
nafuunainayopatikanamaeneomengikiurahisikwa watejazaidiya
milioni
43 katika masoko 13 yanaoibukaAfrika na AmerikayaKusini.
No comments:
Post a Comment