![]() |
Mwandamanaji wa Kiislamu Zanzibar akionyesha kitambaa cha damu. |
Baadhi ya waumini wa dini ya kiislamu wakiwa kwenye moja ya sala.
WAKAZI WA DAR WAJITOLEA DAMU
Wakazi wa
Dar es Salaam wakitoa damu eneo la Kariakoo, zoezi hilo liliendeshwa na
asasi za Kalamandalam na Rotary Club za Dar es Salaam, ambapo walikusanya
Uniti 150 za Damu.
"Damu ni muhimu jamani muwe mnajitolea"
Wakijiandikisha kabla ya kujitolea.
Sasa wanajitolea.
No comments:
Post a Comment