Pichani matukio
mbalimbali yaliyofanyika katika tamasha la tigo wilayani Mbulu,
ambapo msanii H.Baba kutoka Dar es Salaam alitumbuiza.
Pia kulikuwapo na vikundi vya sarakasi kutoka mkoani humo. Wateja wa Tigo walipata fursa ya kushinda zawadi mbalimbali pamoja na kupata huduma za Tigo zilizopatikana katika vibanda vya Tigo.
Pia kulikuwapo na vikundi vya sarakasi kutoka mkoani humo. Wateja wa Tigo walipata fursa ya kushinda zawadi mbalimbali pamoja na kupata huduma za Tigo zilizopatikana katika vibanda vya Tigo.
Msanii H.Baba kutoka Dar es Salaam akitumbuiza wakazi wa Mbulu.
Tijifunze, tuburudike lakini pia uimara wa afya unapatikana kwa kufanya mazoezi, tigo wanawezesha.
Samaki mkunje angali mbichi mtoto huyu anaanza mafunzo ya sarakasi kwenye umri huu je wadau wa soka mnaona?
H.Baba.
No comments:
Post a Comment