WADAU OKOENI MAISHA YA MTOTO HUYU JAMANI. - RAHA ZA PWANI

Habari za Hivi Punde

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Monday, June 4, 2012

WADAU OKOENI MAISHA YA MTOTO HUYU JAMANI.

RUKIA ABDALHA ni mtoto wa miaka miwili anayeishiWilayani  RUANGWA mkoani LINDI aliungua maji ya moto, akapelekwa hospitali ya wilaya RUANGWA ambako alipata huduma ya kwanza na kushauriwa aende NDANDA, NYANGAO au MUHIMBILI.

Wazazi wa RUKIA hawana uwezo kifedha kumfikisha ktk hospitali hizo, wanazidi kumuuguza mtoto huyo kienyeji nyumbani kwao na sasa mtoto huyo anatoa harufu kali......Kwa niaba ya Familia Mimi Abdulaziz Ahmeid,,,,wa Lindi Press Club na Mwandishi wa Channel ten Mkoa wa Lindi natumia fursa hii kumuombea mtoto huyu ili asaidiwe kupatiwa Matibabu ya Haraka kunusuru Maisha yake..


Kwa hisani ya Mdau 

ABDULAZIZ VIDEO  ,LINDI

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here