TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KUANZA UHAKIKI WA ADC JUNI 7 MWAKA HUU. - RAHA ZA PWANI

Habari za Hivi Punde

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Tuesday, June 5, 2012

TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KUANZA UHAKIKI WA ADC JUNI 7 MWAKA HUU.

Katibu Mkuu wa Chama Kipya Cha kisiasa cha ADC Kadawi Lucas Limbu, akizungumza na waandishi wa habarfi jijini Dar es Salaam jana, kuhusu kuanza kwa zoezi la uhakiki wa wadhamini wa Chama hicho litakaloanza july 7 mwaka huu Mkoani Mwanza ili kupata usajili wa kudumu.

CHAMA Kipya Cha Kisiasa nchini cha Aliance For Democratic Change (ADC) leo kimetangaza kupokea rasmi ratiba ya uhakiki wa wadhamini wa chama hicho kwenye mikoa 11 nchini. akizungumza na waandishi wa habari katibu Mkuu wa Chama hicho Kadawi Lucas Limbu alisema wamepata ratiba hiyo kutoka tume ya taifa ya uchaguzi na kazi hiyo itaanzia Mkoani Mwanza siku juni 7 mwaka huu.


Kazi hiyo inatarajiwa kukamilika Juni 18 kwenye mikoa ya Dar es Salaam na Simiyu huko Bariadi na Busega.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here