Timu ya Mkoa wa Kimichezo wa Kawe huku kikosi hicho kikiundwa na wachezaji wengi kutoka Sjule ya Sekondari ya Makongo jijini humo wakijiandaa na mpambano wao dhidi ya timu ya Mkoa wa Ubungo kwenye Viwanja vya Chuo Kikuu Dar es Salaam leo hii.
Mshambuliaji wa kawe akifunga goli la kichwa.
Kapteni na Mshambuliaji wa Timu hiyo ya Mkoa wa Kawe Sherida Boniface akifunga goli lake la kwanza kwenmchezo wao dhidi ya timu ya Mkoa wa Ubungo, Kawe ilishinda magoli 6-1.
Kapteni Sherida akipiga chenga.
Mwanariadha Moza Mohamed (kushoto) wa Mkoa wa Kawe akimaliza mbio za mita 200.
Mchezaji wa Kawe akimiliki mpira hadi Bloger anatoka Uwanjani Ubungo walishafungwa magoli 10 bila.
Mjumbe wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT) Jamali Rwambo alikuwa mgeni rasmi kwenye michuano hiyo

No comments:
Post a Comment