Mlimbwende aliyenyakua taji la Ulimbwede la Redds Vyuo vya
Elimu ya Juu (Redds Miss Higher Learning Institutions ) kwenye shindano
lililofanyika jana usiku jijini Dar es Salaam Virginia Mokiri, kutoka Chuo
Kikuu cha Dodom (UDOM) akiwapungia mkono mashabiki wa shindano hilo mara baada
ya kuvalishwa taji hilo, kushoto ni mshindi wa pili Fatma Ramadhani kutoka Chuo
Cha Uandishi wa Habari Arusha (ASJ) na kulia ni mshindi watatu Fina Revocatuskutoka IFM Dar es Salaam.
|
Akivalishwa taji na mrembo aliemaliza mudawake wa kushikilia taji hilo. |
Akivaa umalkia kamili, kushoto ni mwalimu wa Warembo hao. |
Washiriki wote 14 wakiwa kwenye vazi la jioni.
|
Mashabiki nao ilikua ni sehemu ya burudani walijitahidi kuwashangilia wapendwa wao. |
Warembo hao walipata muda wakutumbuiza pia kwa kuonyesha uwezo wa kucheza. |
Bob Junior na wanenguaji wake wakaongeza uhondo. |
Baada mwenzao kutangazwa wakafanya hivi! sijui ni furaha ama kupongezana wenyewe wanajua. |
Kumbe ilikua ni furaha kwanini? labda ni vigezo vimetimia kwa mshindi. |
Hapa anakabidhi zawadi ya pesa 2.5Millioni kwa Mshindi wa kwanza. |
Picha za muhimu hujaziweka, umeharibu habari...pooor
ReplyDelete