![]() |
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali
Mohamed Shein,(wa tano kushoto) pamja na Viongozi wengine wa Serikali
wakiungana na Waislamu katika Swala ya kuwaombea Dua Abiria waliofariki katika Ajali ya Meli Mv Skagit ya Kampuni ya Seagul,iliyozama hivikaribuni ikitokea Dar es Salaam kuelekea Zanzibar,swala hiyo ikiongozwa na Mufti wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi,katika Msikiti wa Mwembeshauri Mjini Zanzibar leo. |
![]() |
Baadhi ya waumini walioshiriki kwenye ibada hiyo. |
![]() |
Viongozi mbalimbali wa serikali ya zanzibar pamoja na Rais Mtaafu Amani Karume kushoto wakisoma hitima. |
No comments:
Post a Comment