JK ALIVYOTEMBELEA MAONESHO YA KIMATAIFA SABASABA JANA. Aagiza maliasili kulinda uoto wa asili kwa gharama zote ili usije ukapotea. - RAHA ZA PWANI

Habari za Hivi Punde

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Saturday, July 7, 2012

JK ALIVYOTEMBELEA MAONESHO YA KIMATAIFA SABASABA JANA. Aagiza maliasili kulinda uoto wa asili kwa gharama zote ili usije ukapotea.

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua baadhi ya bidhaa zitokanazo na Wannyamapori wakati alipotembelea banda la Wizara ya Mali asili na utalii katika viwanja vya maonyesho vya  Mwalimu Julius Nyerere Sabasaba jijini Dar es Salaam jana.


Mkurugenzi Mkuu wa mfuko wa PPF Bwana William Eriyo akimuonesha Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete mradi wa uwekezeaji wa hoteli ya kisasa iliyojengwa na shirika la PPF mjini Mwanza wakati Rais alipotembelea banda la PPF katika viwanja vya maonyesho ya Sabasaba jijini Dar es Salaam jana.
Picha na Freddy Maro

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here