VIJANA WA ARUSHA KUJITOKEZA KWA WINGI TRIPLE 'A' NI KWENYE EPIQ BONGO STAR SERCH. - RAHA ZA PWANI

Habari za Hivi Punde

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Saturday, July 7, 2012

VIJANA WA ARUSHA KUJITOKEZA KWA WINGI TRIPLE 'A' NI KWENYE EPIQ BONGO STAR SERCH.

Kikosi kazi Cha Bench Mark Productions kikiwa mbele ya Ukumbi maarufu Mkoani Arusha wa Triple A, kikiwa kwenye maandalizi ya kusaka vipaji vya kuimba kutoka Mkoani humo kwenye usaili utakaofanyika leo hii kupitia shindano la Epiq Bongo Star Serch shindano maarufu nchini Tanzania.
Crew ya Bench Mack ikiseti vyombo kwaajili ya kinyang'anyiro hicho kinachofanyikaleo hii.
Maandalizi ya mwisho mwisho yakiendelea
Alama hii ndio utambulisho wa Mkoa huo ipo City Center.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here