![]() |
Bondia mtanzania Omary Kimweri (kushoto) ambaye anaishi nchini Australia akimtandika Yodpichai Sithsaithong, kwenye pambano lililofanyika The Melbourne Pavilion, Flemington, Victoria, Australia JULY13, 2012.Huku promota wa pambano hilo akiwa Brian Amatruda Omari Kimweri bondia huyo mtanzania amekuwa akifanya vizuri katika mapambano yake nje ya nchi kutokana na umairi wake wa mchezo wa masumbwi mda mrefu na amekua akishi Australia kwa kutegemea mchezo huo |
![]() |
Kimweri akiendeleza mashambulizi. |
No comments:
Post a Comment