SASA NI ZAMU YA MBEYA. WASHIRIKI KIBAO WAJITOKEZA. - RAHA ZA PWANI

Habari za Hivi Punde

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Saturday, July 21, 2012

SASA NI ZAMU YA MBEYA. WASHIRIKI KIBAO WAJITOKEZA.

Majaji wa EPIQ BSS Wakiwa na meneja wa Mawasiliano wa Zantel, Awaichi Mawalla wakati wakisimama kwa dakika moja kuwakumbuka waliokufa kwa ajali ya meli ya MV Skagit iliyotokea tar 18 July ambapo watu kadhaa wamepoteza maisha kabla ya kuanza kwa shindano hilo mkoani Mbeya kwenye wa   Club Vybes, Mbeya.
Washiriki wakipanga mistari kwaajili ya kufanya usaili.

Washiriki wakibandnamba zao.
Washiriki wakisikiliza maelekezo kwa makini kabla hawajaenda kwa majaji.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here