MCHAKATO WA KUMPATA SHABIKI BOMBA UNAENDELEA. - RAHA ZA PWANI

Habari za Hivi Punde

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Friday, July 6, 2012

MCHAKATO WA KUMPATA SHABIKI BOMBA UNAENDELEA.

Baadhi ya mashabiki wa Soka ya Uingereza wakijaza fomu za kushiriki shindano la kumsaka shabiki bomba ili awakilishe kwenda nchini Afrika ya kusini kuungana na mashabiki wa nchi nyingine kwenda kushuhudia michuano ya fainali za Afrika hapo mwakani. Zoezi hilo linalofanywa na kikosi maalum cha bia ya Castle leo lilifanyika maeneo ya Msasani na Coco beach.
Shabiki wa Chelsea akiweka swaga wakati wa kupiga picha  mara baada ya kujaza fomu ya kushiriki shindano hilo.
Shabiki wa Arsenal Bia Said Bia kushoto akujisajili kwenye fomu hiyo kushiriki shindano hilo eneo la Macho Msasani.
Dada Gael Swizan (katikati) akiwa na mwenzake wote wakijisajili majina yao kushiriki kwenye shindano hilo.
Bia Said Bia akiweka shangwe kwaajili ya chama lake. Oyooooo.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here