WALEMAVU WAPATA SEMINA JUU YA NAMNA YA KUSHIRIKI KWENYE MCHAKATO WA KATIBA MPYA. - RAHA ZA PWANI

Habari za Hivi Punde

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Friday, July 6, 2012

WALEMAVU WAPATA SEMINA JUU YA NAMNA YA KUSHIRIKI KWENYE MCHAKATO WA KATIBA MPYA.

Mmoja wa washiriki kutoka chama cha walemavu wa ngozi nchini akizungumzia changamoto wanazokabiliana nazo katika washa hiyo.
Baadhi ya washiriki walioudhuria  mkutano huo wa siku tatu uliomalizika jana jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi mtendaji wa Foundation for Civil Society John Olanga, akiwahuubia washiriki wa mkutano huo juu ya ushiriki wa walemavu katika mchakato wa katiba nchini Mkutano uliandaliwa na Asasi za kiraia za  watu wenye ulemavu nchini chini ya ufadhili wa The Foundation for Civil Society.uliomalizika jana katika Hotel ya Umbungo Plaza leo jijini Dar es salaam

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here