Baada ya polisi kuua wachimba migodi 34, wake
za wachimbaji waandamana.
Wake za wachimba madini wakiandamna jananchini Afrika kusini kutokana na Polisi wa nchi hiyo kuua wachimbaji 34 na kuwajeruhi kadhaa baada ya wachimbaji hao kufanya mgomo na kuandamana kudai maslahi yao.
Askari wa kikosi cha upelelezi wa makosa ya jinai cha nchini afrika kusini akifanya uchunguzi kwenye eneo ambapo wachimbaji walipigwa hapo juzi kwenye mgodi wa Lomin karibu na mji wa Rustenburg Afrika kusini.
The headlines Friday in
South Africa spoke of a bloodbath, of war.
Wake za wachimba madini wakiandamna jananchini Afrika kusini kutokana na Polisi wa nchi hiyo kuua wachimbaji 34 na kuwajeruhi kadhaa baada ya wachimbaji hao kufanya mgomo na kuandamana kudai maslahi yao.
Polisi wakiweka kambi mbele ya waandamanaji nje kidogo ya
mji wa Rustenburg, km 62 kaskazini magharibi mwa mji wa Johannesburg, Ambapo juzi August 16
waliwapiga risasi wachimba madini 34 wakati maalfu ya wachimba madini hao
walipo goma na kuandamana kunadai maslahi zaidi.
Askari wa kikosi cha upelelezi wa makosa ya jinai cha nchini afrika kusini akifanya uchunguzi kwenye eneo ambapo wachimbaji walipigwa hapo juzi kwenye mgodi wa Lomin karibu na mji wa Rustenburg Afrika kusini.
Marikana, South Africa
(CNN)
The morning after carnage
at a platinum mine, South Africans grappled with shock, memories of an ugly era
resurrected in their minds. The word apartheid surfaced again as people debated
the need for such police force.
The police, meanwhile,
explained themselves at a news conference, giving reporters the grim toll: 34
mine workers killed, 78 others wounded, 259 arrested on various charges,
including malicious damage to property, armed robbery, illegal gathering and
possession of weapons. That according to Police Commissioner Riah Phiyega.
She said police “were
forced to utilize maximum force to defend themselves.”
South
African President Jacob Zuma cut short a trip to Mozambique to visit the scene
of the shootings Friday afternoon. He announced the government will open an
inquiry of the incident.
He reminded South Africans that they must come
together to overcome national challenges as they had done before. “This is not
a day to apportion blame,” Zuma said. “It is a day for us to mourn together as
a nation. It is also a day to start healing.” Mourn, yes, but also a time to
think about what had been done, some cried. Rising tensions explode into grisly
violence at South African mine