PAKISTAN BADO MASHAKA YANAENDELEA. - RAHA ZA PWANI

Habari za Hivi Punde

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Friday, August 17, 2012

PAKISTAN BADO MASHAKA YANAENDELEA.

Bomu laua 3 lajeruhi 19 Pakistan, walikua kwenye basi wakienda mkutanoni.
Muonekano wa eneo ambalo bomu la kulipua kwa remote lililipuliwa likilenga basi la abiria waliokuawakielekea kwenye mkutano wa maadhimisho ya siku Quds kwenye mji wa Karachi nchini Pakistan. Taarifa zinaeleza watu watatau wamefariki na wengine 19 wamejeruhiwa. Kila ifikapo ijumaa ya mwisho wa mwezi mtukufu wa ramadhani waisilamu maeneo mbalimbali duniani uadhimisha siku hiyo kukunbuka mauaji ya wapalestina na kulaani vitendo vya Israel kuwaua watu wasio na hatia.

Post Top Ad

Responsive Ads Here