Kazi ya ujezni wa mradi wa mabasi yaendayo kasi kwenye barabara ya Morogoro inaendelea kwa kasi hali onayoashiria mwanzo mzuri kwa kampui hiyo, ambapo wanachi wamekua wakiipongeza kampini huyo kwa kuzingatia hali ya usalama barabarani kwa kuweka tahadhari lakini pia kwa kuzingatia usafi wa mazingira. |
Usalama kwanza, sehemu ambazo tahadhari zumewekwa kuimarisha ysalama. |