HALMASHAURI KUU CCM ZANZIBAR YAKUTANA KISIWANDUI. - RAHA ZA PWANI

Habari za Hivi Punde

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Friday, August 17, 2012

HALMASHAURI KUU CCM ZANZIBAR YAKUTANA KISIWANDUI.

Makamo Mwenyekiti wa CCM na Rais Mstaafu wa Zanzibar Dk.Amani Abeid Karume, akiendesha kikao cha kamati maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ya Zanzibar, katika ukumbi wa CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar, (kushoto) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Dk. Ali Mohamed Shein.  
Dk.Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Viongozi wa CCM, alipowasili kwenye viwanja vya Ofisi ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar, kushiriki katika kikao cha siku moja cha Kamati maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ya Zanzibar,kilichofanyika leo.  
Wajumbe wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar,wakiwa katika kikao cha siku moja chini ya Mwenyekiti wake, Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais Mstaafu wa Zanzibar Dk.Amani Abeid Karume.

Post Top Ad

Responsive Ads Here