BAADA YA KUWASIMAMISHA KAZI WAKURUGENZI WA MALAKA YA BANDARI ATEMBELEA BANDARINI AWAFUNDA WAFANYAKAZI. - RAHA ZA PWANI

Habari za Hivi Punde

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Thursday, August 23, 2012

BAADA YA KUWASIMAMISHA KAZI WAKURUGENZI WA MALAKA YA BANDARI ATEMBELEA BANDARINI AWAFUNDA WAFANYAKAZI.

 Waziri wa Uchukuzi,Harison Mwakyembe(aliyesimama)akisisitiza jambo kwa wafanyakazi wa Mamlaka ya Bandari Tanzania(TPA),mchana huu,wakati akiwataka kuongeza ufanisi katika utendaji kazi wao.

Waziri wa Uchukuzi,Dkt. Harrison Mwakyembe (aliyevaa tainyekundu),akimtambulisha Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari (aliyenyoosha mikono)Mhandisi Madeni Kipande,mchana huu alipotembelea Bandari hiyo.Waziri wa Uchukuzi wa Uchukuzi amewasimamisha Maneja wa Bandari ya Dar es Salaam,Meneja wa Kurasini Oil Jet(KOJ),Meneja wa JET,Mhandisi wa kituo cha Mafuta(Oil Terminal Engineer),Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari(TPA),na Wakurugenzi Wakuu Wasaidizi wawili wa Mamlaka hiyo kupisha Uchunguzi wa tuhuma mbalimbali zinzoikabili Mamlaka hiyo.

Post Top Ad

Responsive Ads Here