Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Daktari. Ali Mohamed
Shein, akitoa Taarifa maalum kwa wananchi wa Zanzibar kuhusu zoezi la uandikishaji
wa Sensa itakayofanyika siku ya Jumapili August 26, mwaka
huu,ambayo itaweza kufanikisha mipango ya maendeleo kwa Taifa.
Picha ya Ramadhan Othman, Ikulu.
Picha ya Ramadhan Othman, Ikulu.