Yanga
walivyotinga ndani ya Ikulu ya Kagame jana Jijini Kigali.
Rais Paul Kagame akisalimiana na Kocha Mkuu wa timu ya Yanga wakati alipowaalika Ikulu jijini Kigali Rwanda jana.
Nahodha wa Yanga Nadir Harub (Kanavaro) akiwa na Kocha wake wakimuonyesha kombe hilo Rais wa Rwanda Paul Kagame alipo waalika kwenye Ikulu yake.
Kikosi cha Yanga kikiwa kwenye picha ya pamoja.

Hapa Kagame akizungumza nao. |