GARI LA NAIBU WAZIRI EAC LAPATA AJALI. - RAHA ZA PWANI

Habari za Hivi Punde

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Tuesday, August 7, 2012

GARI LA NAIBU WAZIRI EAC LAPATA AJALI.

Wakazi wa eneo la Tumbi wakiangalia gari alilokua amepanda naibu waziri wa Afrika Mashari Abdullah Juma Abdallah Sadala,ambae akitokea mkoani Dodoma kwenda Dar es Salaam likiwa limepinduka kwenye eneo hilo baada ya dereva wake kumshinda wakati akilikwepa Lori, hata hivyo ni dereva tu aamejeruhiwa vibaya na kukimbizwa Hospitali ya hapo.
Linavyoonekana kwa chini.
Mmoja wa watu waliokuwemo ndani ya gari hilo akitoka kwenye gari punde tu baada ya ajali. Picha Mdau Ahmed Abdullaziz.

Post Top Ad

Responsive Ads Here