Kikosi cha Olympic charejea nchini kichwa
chini, Viongozi
wasema michezo ya sasa inaendeshwa Kisayansi zaidi, lamsingi ni kujipanga tena
kisayansi na sio kwa mazoea.
Mwakilishi wa Tanzania kwenye mchezo wa kuogelea Magdalena
Moshi akilakiwa na bibiyake mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa
kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam leo jioni, mara baada ya
wawakilishi hao watanzania kurejea nchini bila medali yeyote.
|
Katibu Mkuu wa Shirikisho la ngumi Tanzania (BFT)Makore
Mashaga akisalimiana na baadhi ya wawakilishi wa Tanzania kwenye michezo ya
Olimpiki mara baada ya kuwasili nchini.
|
Mwakilishi wa Mchezo wa Ngumi Selemani Kidunda.
|
Wawakilishi wa Mchezo wa kuogelea Amal (mbele) Gadiale na
Magdalena Moshi wakiwasili.
|
Rais wa Kamati ya Olimpiki Tanzania TOC Filbert Bayi (katikati),
akibadilishana mawazo na Mkurugenzi wa Michezo nchini Leonard Tadeo ambae
alifika kuwapokea uwanjani hapo.
|