Msanii H. Baba alivyotumbuiza wakati wa ufungaji wa maonyesho ya nanenane
Taso Kanda ya Mashariki , inayojumuisha Mikoa ya Morogoro,Tanga, Pwani na Dar es Salaam, siku ya kilele , katika ushiriki huo,wateja mbalimbali walitembelea Banda hilo na kupatiwa huduma mbalimbali , onesho hilo lilipambwa na michezo ya wasanii wanaochipukia wa Mkoa wa Morogoro pamoja na nguli wa muziki wa kizazi kipya , H. Baba aliyewakong’a nyoyo wananchi walioshiriki siku ya Kilele.