Raha na karaha za usafiri wa bahari Kilwa.
Kijana ambaye jinalake halikufahamika akivua samaki kwenye kona ya eneo la gati ya Kilwa Masoko huku ikiwa imeharibika bila ya kufanyiwa matengezezo na wahusika hali inayhoongeza uchakavu.
Abiria wa usafiri wa baharini kutoka vijiji vya kata ya Pande Wilayani Kilwa wakiwa kwenye Jahazi kuelekea makaomakuu ya wilaya ya Kilwa leo.

Abiria wakiingia kwenye kiboti bandarini Kilwa Masoko kwa safari ya kuelekea Kwenye vijiji vya Kata ya Pande Mikoma, usafiri huo wa umbali wa zaidi ya km20 unagharama ya Tsh 2500.
No comments:
Post a Comment