Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein, akizungumza na Balozi wa Korea Nchini Tanzania, Kim Young Hoon, alipofika kumuaga Rais, katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo. |
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein, akizungumza na Balozi wa Denmark Nchini Tanzania, Johnny Flento, alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo, kwa mazungumzo na Rais. |