Kampuni ya Tigo yaendelea
kukomba wateja Dodoma.
Baadhi ya wakazi wa mji wa Dodoma wakifuatlia burudani kwenye banda la Tigo lililopo kwenye Maenyesho ya nane nane eneo la Nzuguni nnje kidogo ya mji wa Dodoma. |
Wateja wakipata huduma mbalimbali za kampuni hiyo kwenye viwanja hivyo Mkoani Dodoma. |
Wasanii wakitumbuiza burudani mbalimbali. |
Wateja wakiendelea kuhudumiwa. |