Australia yaonyesha umahiri kwenye uogeleaji wapamoja. Timu inayofahamika kwenye manjonjo ya
kuogelea.
Timu ya kuogelea
ya Australia ikiweka mbwembwe kwenye mashindano ya Dlympics yanayoendelea
jijini Londone hapo jana, Timu hiyo ni maarufu kwenye mchezo huo kwa staili
zake.
|