Mjamaica Usain Bolt audhihirishia ulimwengu, ashinda tena mbio za mita 200.
Mtu mwenye kasi zaidi duniani kwwa sasa Mjamaica Usain Bolt, akifurahia baada ya kushinda tena mbio za mita 200, wanaume kwenye mashindano ya Olympics jana usiki kwenye mashindano hayo yanayoendelea jijini Londone. |