Timu ya Jamaica iliyovunja rikodi yake ya kukumbia kwenye mbio za kupokezana vijiti jijini London jana kwnye michuanp ya Ollympics inayoendelea wakipozi kwa picha kwenye ubao wa kuhesabu muda, rikodi ya zamani ni ya 37:04ma mpya ni 36:84. |
Binadamu mwenye kasi zaidi duniani kwasasa Usain Bolt akimalizia mbio za mita 400 za kurokezana vijiti ambazo huwa na wakimbiaji wanne kila timu na kufanikiwa kuvunja rikodi yao wenyewe walioiweka kwenye Olympiki iliyopita ya 37:04 na kuweka rikodi ya 36:84 kwenye fainali ya mbio hizo zilizofanyika jana jijini London kwenye michuano ya Olympiki inayoendelea.
|
Brazil's Lucas (l.) reacts as Mexico's players celebrate their victory over Brazil after their men's soccer final gold medal match at Wembley Stadium Saturday.
|
Mchezaji wa Brazil akiwa hoi baada ya kipigo cha magoli mawili kwenye fainali ya Soka kuwania midali ya Dhahabu kwenye muchuano ya Olympics inayoendelea jijini London. Ambapo Brazil ilifungwa 2-1. |