Rais Kikwete arejea nchini, afuturu na yatima
na walemavu ikulu.
Rais Kikwete akitoa zawadi kwa watoto yatima na walemavu mara baada ya kufutari nao kwenye futari maalum aliyowaandalia watoto hao kutoka vituo mbalimba vya jijini Dar es Salaam. |
Watoto yatima na walemavu kutoka kwenye vituo mbalimbali vinavyowalea wakifutari kwenye futari waliyoandaliwa na Rais Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam jana. |
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akitoa zawadi mara baada ya Futari hiyo Ikulu. |