USAWA WA ELIMU KWA WATOTO NI MUHIMU. - RAHA ZA PWANI

Habari za Hivi Punde

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Tuesday, August 14, 2012

USAWA WA ELIMU KWA WATOTO NI MUHIMU.

Mhadhiri mwandamizi chuo Kikuu cha Dar es salaam Dk. Kitila Mkumbo akiwasilisha mada kuhusu umuhimu wa usawa wa elimu kwa watoto wa watanzania wa hali ya chini na wale wenye kipato cha juu, wakati wa mkutano wa majadiliano kuhusu Bajeti ya elimu nchini, uliofanyika jijini Dar es salaam leo, mkutano uliandaliwa na Taasisi ya haki elimu. Picha na Philemon Solomon wa fullshangwe.

Post Top Ad

Responsive Ads Here