Asasi za Kiraia zaikaba
Serikali, Yapewa siku saba kulifungulia, Bila hivyo waziri Naibu, Katibu Mkuu na Mkurugenzi wa maelezo kukiona kwa kutoandikwa na vyombo vya habari.
Mwenyekiti wa kamati ndogo iliyoundwa na asasi za kiraia kutetea haki ya Gazeti la Mwanahalisi Marcossy Albanie, akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo, kulia ni Mkurugenzi wa MISATANZANIA Tumaini Mwailenge. |
Waandishi wa habari wakiwa kazini leo jijini Dar es Salaam wakati wa tukio hilo. |
Mwenyekiti wa MISA TANZANIA Mohamed Tibanyendera, akizungumza kwenye mkutano huo. |
No comments:
Post a Comment