IMRAN-CUP Yamalizika kwa
matuta. Lunduno FC yanyakua kombe
kwa panalt 6-5 za timu ya Nachingwea.
Mkuu wa Mkoa wa Lindi,Ludovick Mwananziraakikabidhi
kikombe cha IMRAN Kwa Nahodha wa Timu ya Lunduno Fc baada ya kuibugiza Timu ya Nachingwea kwa mikwaju ya penalti na
kupata
jumla ya mabao 6 kwa 5
Kikosi kilicho twaa ubingwa huo cha Timu ya Lunduno kikiwa kwenye picha ya pamoja na mashabiki wao.
Mdhamini wa Mashindano hayo Imran Traders,Mahamood Dhalla akiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Lindi,Ludovic Mwananzila na mratibu wa Mashindano hayo,Abdulaziz Ahmeid muda mfupi kabla ya kukabidhi zawadi katika uwanja wa Ilulu.

Mratibu wa Mashindano ya IMRAN CUP ,,Abdulaziz Ahmeid akitoa taarifa fupi kwa Mkuu wa Mkoa wa Lindi
kuhusiana na mashindano hayo yaliyoanza mwaka huu na kushindaniwa kila
mwaka katika Mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan.
Ni kwa hisani ya Mdau Ahmed Abdullaziz Lindi.
Ni kwa hisani ya Mdau Ahmed Abdullaziz Lindi.