Tamasha la
familia lilivyofana kwenye fukwe za Coco.
Wakazi wa jiji la Dar es Salaam waliojitokeza kwenye tamasha la Familia lililofanyika siku ya Eid pili kwenye Fukwe za Coco jijini Dar es Salaam ambapo wasanii mbalimbali walitumbuiza.
Wakazi wa jiji la Dar es Salaam waliojitokeza kwenye tamasha la Familia lililofanyika siku ya Eid pili kwenye Fukwe za Coco jijini Dar es Salaam ambapo wasanii mbalimbali walitumbuiza.
Msanii wa Hip Hop,Roma Mkatoliki akifanya vitu vyake kwenye tamasha la Familia siku ya Eid Pili likishirikisha vinywaji vya Grandmalt,Vita malt na kinywaji kipya cha Maltiza lililofanyika kwenye fukwe ya coco jijini Dar Es Salaam.
Wasanii wa kundi la TMK Wanaume Famili wakiongozwa na Mh Temba na Chege wakilishambulia jukwaa kwenye tamasha la Familia siku ya Idd Pili likishirikisha vinywaji vya Grandmalt,Vita malt na kinywaji kipya cha Maltiza lililofanyika kwenye fukwe ya coco jijini Dar Es Salaam.
Msanii chipukizi wa kundi TMK Wanaume Dogo Asley akishambulia jukwaa kwenye tamasha la Familia siku ya Idd Pili likishirikisha vinywaji vya Grandmalt,Vita malt na kinywaji kipya cha Maltiza lililofanyika kwenye fukwe ya coco jijini Dar Es Salaam.
No comments:
Post a Comment