BONDIA FRANCIS CHEKA AMCHAKAZA KARAMA NYILAWILA MIDA HII. - RAHA ZA PWANI

Habari za Hivi Punde

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Saturday, September 29, 2012

BONDIA FRANCIS CHEKA AMCHAKAZA KARAMA NYILAWILA MIDA HII.

Bondia Frances Cheka (kulia) akimtandika makonde Bondia Krama Nyilawila kwenye Mpambano uliomalizika hivi punde kwenye Ukumbi wa TPA sabsaba jijini Dar es Salaam, ambapo Cheka aliibuka kidedea kwenye mpambano huo.

Mlezi wa mchezo wa Masumbwi nchini Kamanda wa Polisi wa kanda Maalum ya Dar es Salaam Suleimani Kova, (watatu kulia) akishuhudia kutangazwa kwa ubingwa wa bondoa Francis Cheka baada ya kumdunda Karama Nyilawila.
 

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here