Wakati Naibu Waziri wa Nishati na Madini yupo Ziarani Wilayani Ruangwa leo watu 6 Wahofiwa kufa baada ya kufukiwa na kifusi
mgodini Chimbila (MNACHO) Wilayani Ruangwa-Mkoa wa Lindi Jitihada za kuwaokoa zimekuwa ngumu kutokana na Ukosefu wa zana ....Kufuatia harakati hizo Mpaka sasa Maiti Moja Imepatika..... Taarifa zaidi tutaendelea kuwajuza kupitia mtandao huu
Na Abdulaziz video Rec,Lindi
Ukosefu wa vifaa unatatiza juhudi za uokozi.



No comments:
Post a Comment