Wageuza Tanesco kuwa
shamba la Bibi.
Wahandisi wa shirika hilo wakiangalia baadhi ya nguzo zilizo katwa na wezi hao.
Fundi akiondoa mita ya wizi kwenye nyumba hiyo iliyokutwa imeunganishwa umeme kinyemela.
Gari la Tanesco likibeba vipande vya nguzo vilivyokatwa katwa na wezi.
Hapa gari la Tanesco liking'oa nguzo hizo za wizi.
Meneja wa Tanesco Wilaya ya Kigamboni Mhandisi Eusterd Edward akimuonyesha namba za nguzo Meneja wa Tanesco Mkoa wa Temeke Mhandisi Richard Mallamia (kulia) na Mhandisi wa Mkoa huo Ebenezer Fue.
| Meneja wa Tanesco Mkoa wa Temeke Richard Mallamia, akionyesha namna umeme ulivyounganishwa kimakosa na wezi huko Toangoma. |
Gari la Tanesco likibeba vipande vya nguzo vilivyokatwa katwa na wezi.
Hapa gari la Tanesco liking'oa nguzo hizo za wizi.
Meneja wa Tanesco Wilaya ya Kigamboni Mhandisi Eusterd Edward akimuonyesha namba za nguzo Meneja wa Tanesco Mkoa wa Temeke Mhandisi Richard Mallamia (kulia) na Mhandisi wa Mkoa huo Ebenezer Fue.
Baadhi ya nyaya zilizokutwa na jeshi la polisi kwenye moja ya nyumba zilizokuwa zikiunganishiwa umeme kinyemela.
Na Said Powa
KATIKA
haliisiyokuwa yakawaidaShirika la umemeTanzania (Tanesco) MkoawaTemeke jijini
Dar es Salaam limegundua wizi wa ainayake baada ya kukamata nguzo zaidi ya 6
nanyayazake zaidi ya mita 600 zilizo sambaziwa umeme mitaani
na wezi kwa kushirikiana na wenye nyumba.
Akizungumzia
tukio hilo mbele ya waandishi wahabari wakati wa operesheni hiyo iliyofanywa kwenye
eneo la Toangoma Kigamboni jijijini humo Meneja wa Mkoa wa Tanesco Temeke Mhandisi
Richard Mallamia, alisema wamepenyezewa taarifa za wizi huo na raia wema natayari
kabla ya kufika kwenye operesheni hiyo uchunguzi wa awali unaonyesha kuna uwezekano
wa watendaji wa shirika kuhusika na tukio hilo.
Aidha
kwenye zoezi hilo ambalo lilikuwa kama la kushitukiza kwenye eneo la Toangoma
Masaki mmiliki wanyumba moja ambayo walikutwa mafundiwakiendelea na ujenzi aliunganisha
umeme kwakushirikiana na wezi hao kwa kujichomekea nguzo zake mbili hadi kufikia
nyumbayake ikiwa niumbali wa zaidiyamita 200 bila ya kufuata taratibu za shirika.
Akielezea
tukio hilo Mhandisi wa Mkoa huo Ebenezer
Fue, alisema pamoja na kutofutwa kwa taratibu za uunganishaji kwenyeshirika
lakinipia uunganishwaji wenyewe wa umeme ni wahatari kwakua haujazingatia viwango
vya kitaalamu vinavyokubalika.
“Hizi
nguzo zilizotumika hapa sizo za kusambaza umeme hukumtaani ndiomaana unaona wamezikatakata
ili waweze kuzituumia na hatabaadhi ya viunganishi vya kwenye nguzo haviunganishwi
kama hivi inavyoonekana,” alisema Fue.
“Hivi
vifaa vyote ni vya shirika lakini vimefikaje huku nanani kavileta huku, ndio hatua
hii tuliyoanza kuchukua sasa itatubainishia, ingawa tumeanza kutajiwa majina ya
baadhi ya wahusika wa kazi hii ambao wamo ndani ya shirika lakini nimapema sana
kuwataja kwasasa ngoja tuendelee na kukusanya taarifa zaidi” Mhandisi Malamia
alifafanua.
Kwa
mfumo huohuo operesheni hiyo ilibaini maeneomengine mawili kwenyekitongoji hicho
cha Toangoma ambako nako pia zimechomekwa nguzo nne zikiwa na nyayazake hukuwateja
hao wakisubiri hatua za mwisho kuingiziwa umeme ndani ya nyumbazao huku shirika
hilo likiwa halina hata taarifa za wateja hao
Lakini
jambo baya zaidi na la kusikitisha linalofanywa na wezi hao wamekuwa wakikata nyaya
kwa wateja waliounganishiwa umeme kihalali kwenye mitaa na kuchukua nyaya zake kwenda
kuunganishia watu wengine huku wakiwakosesha umeme watu wengine.
MsafarawashirikashirikahilouliongozwanaMenejawaWilayayaKigamboniInjiniaEustardEdward,
ulifikahadieneoambalofamiliakadhaazimekosaumemebaadayanyayazakekuibwanakwendakuunganishiwawatuwengine.
Kwamujibu
wataratibu za shirika hilo ‘service line’ za umeme zote zinakuwa tayari kwenye ramani
ya shirika kwenye eneo lote la kusambaza umeme lakini wateja walikutwa na umeme
huo hata kwenye shirika ramani hiyo haipo kwa hiyo mojakwamoja haoni wezi na
wanpaswa kuchukuliwa hatuaza kisheria.
Hatahivyo
Mhandisi Mallamia alisema wizi huo umelitia hasara shirika kwasababu hatanguzo zilizotumika
kusambaza umemehuo sio nguzo za umemewa mtaaani ni nguzo kubwa za kusambaza umeme
kwenye laini kubwa, na ndiomaana wamelazimika kuzikata zaidi ya maramoja ili ziweze
kuendana sawa ambapo alisema kufanya hivyo nihasara kubwa kwani nguzo moja
pekee thamani yake karibu Tsh2Millioni.
Aidha
Mallamia amewapongeza watanzania wenye uchungu na shirikalao kwakutoa taarifa za
wizi huo na kuwataka kufanya hivyo mara kwa mara ili kufichua uovu huo.
Tangu
Shirika hilo kufungua ofisi za kanda Mikoa na Wilaya na kuwa na Mameneja wenye
meno kumekua na ufanisi kiutendaji ndani ya shirika kwa kuweza kufuatilia
matukio kwa haraka.
MWISHO:

No comments:
Post a Comment