JK AWEKA JIWE LA MSINGI BARABARA, BAGAMOYO MSATA. - RAHA ZA PWANI

Habari za Hivi Punde

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Tuesday, September 18, 2012

JK AWEKA JIWE LA MSINGI BARABARA, BAGAMOYO MSATA.

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka jiwe la msingi kuzindua rasmi ujenzi wa Barabara ya Bagamoyo-Msata uliofanyika katika kijiji cha Kiwangwa wilayani Bagamoyo leo mchana.Wengine katika picha kutoka kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Ahmed Kipozi, Kaimu Mkuu wa mkoa wa Pwani ambaye pia ni mkuu  wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadik(Wapili kushoto),Waziri wa Ujenzi Dkt.John Pombe Magufuli(wanne kushoto) na kulia ni Waziri wa Mazingira Mhe. Theresa Hoviza.
Sehemu ya Barabara ya Bagamoyo Msata iliyojengwa kwa kiwangi cha lami ambayo ujenzi wake ulizinduliwa Rasmi. Picha na Freddy Maro

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here