KAMATI MAALUM YA HALMASHAURI KUU YA CCM ZANZIBAR WAKUTANA. - RAHA ZA PWANI

Habari za Hivi Punde

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Tuesday, September 18, 2012

KAMATI MAALUM YA HALMASHAURI KUU YA CCM ZANZIBAR WAKUTANA.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na kumpongeza  Mwakilishi mpya wa Jimbo la Bububu, Hussein Ibrahim Makungu (kulia) CCM,kwa kushinda uchaguzi mdogo wa jimbo hilo,alipowasili  katika viwanja vya Ofisi ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar,kushiriki katika kikao cha  Kamati maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ya Zanzibar,kilichofanyika leo.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na kumpongeza  Mwakilishi mpya wa Jimbo la Bububu, Hussein Ibrahim Makungu (kulia) CCM,kwa kushinda uchaguzi mdogo wa jimbo hilo, alipowasili  katika viwanja vya Ofisi ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar, kushiriki katika kikao cha  Kamati maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ya Zanzibar, kilichofanyika leo.

Wajumbe wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar, wakiwa katika kikao cha siku moja chini ya Mwenyekiti wake, Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais Mstaafu wa Zanzibar Dk.Amani
Abeid Karume, wakiwa  katika ukumbi wa CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar, kilipofanyika kikao hicho leo. 

Makamo Mwenyekiti wa CCM na Rais Mstaafu wa Zanzibar Dk. Amani Abeid Karume,Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Dk.Ali Mohamed Shein, (wa pili kushoto) Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa,Balozi Seif Ali Iddi,(kushoto) na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai,kwa pamoja wakiwa wamesimama kabla ya kuanza kikao cha siku moja cha Kamati maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ya Zanzibar, kilichofanyika leo  katika ukumbi wa CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar.  

Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here