Mkazi wa Kijiji cha Kigugu, Kata ya Sungaji, Wilaya ya Mvomero, Mkoa wa
Morogoro, Hamis Athuman Pita (19), ( kushoto ) akipokea hundi ya mfano
yenye thamani ya Tsh.10Millioni, kwa Msimamizi wa Kampuni ya Tigo
Kituo cha Morogoro Neema Mashingia, anayehudumia pia na Mikoa ya Dodoma,
Iringa,
Mbeya na Ruvuma baada ya kijana huyo kushinda shindano la promosheni ya Tigo Beats, iliyoendeshwa na Kampuni hiyo kuanzia Mei 21 hadi Julai 19 mwaka huu, ( kati kati) ni Mfanyakazi wa Tigo Morogoro,Vissa Majitaka.
Hamisi athumani akiwa na mfano wa chekiyake mara baada ya kukabidhiwa.
Msimamizi wa Tigo Morogoro Neema Mashingia akizungumza mara baada ya kumkabidhi Mshindi huyo hundiyake.

TIGO metoa zawadi
kwa mshindi wa pili na wa mwisho wa droo
ya ‘Tigo Beats.’ Hamisi Athumani kutoka Turiani Morogoro ndiye mshindi wa
shilingi 10,000,000/= aliyepatikana wiki iliyopita katika bahati nasibu
iliyofanyika kwa mfumo wa kompyuta chini ya usimamizi wa Bodi ya Michezo
ya Bahati nasibu.
“Tunajitahidi kutoa huduma bora ambazo tunataka ziboreshe
maisha ya wateja wetu,” alisema Alice Maro, Afisa uhusiano wa Tigo. “Kwa
sababu ya maendeleo ya kiteknolojia, tunataka kuwa pamoja katika maisha ya wateja wetu kila siku
na kuwa sehemu ya mafanikio yao,” alisema.
Tangu
tarehe 21 Mei hadi 19 julai 2012,mteja aliye download nyimbo yoyote mpya ya Tigobeatz kwa kuchagua namna mbalimbali za kumwezesha
mteja kudownload wimbo kama: kubonyeza alama ya
nyota (*) wakati wanapowapigia ndugu, jamaa au rafiki zao, kwa kutuma
herufi ya wimbo wowote kwenda 15050, au kwa kupiga 15050 na kununua
wimbo wanaoupenda anakuwa tayari amejiingiza katika droo hiyo. Wateja
watajiongezea nafasi ya kushinda kwa kila wimbo watakaokuwa wana-udownload.
No comments:
Post a Comment