-->
-->
Kundi la wanamuziki wa Tanzania kijulikanacho kwa jina la
Ngoma Afrika Band maarufukwa jina la FFU wa Ngoma juzi walipagawisha mashabiki
wao kwenye maonyesho ya biashara ya kimataifa ya Afrika Messe Mjini Bremen
Ujerumani. Ngoma za bendi hiyo zimekamata nafasi ya juu katika
vituo mbali mbali vya Redio ndani na nje ya Ujerumani, baadhi ya vituo vya
radio zikiwamo Redio
maarufu nchi Ujeruamani Radio Funkhaus Europa na Radio Mult-Kult
ndizo zinarusha kwa fujo nyimbo za Ngoma Africa band, inayo ongozwa
na kamanda Ras Makunja wa FFU.
-->
Kundi la wanamuziki wa Tanzania kijulikanacho kwa jina la
Ngoma Afrika Band maarufukwa jina la FFU wa Ngoma wakipozi kwa picha mjini Bremen Ujerumani kabla ya kutumbuiza mashabiki wao.
Mashabiki waliopagawishwa na burudani ya bendi hiyo.
No comments:
Post a Comment